Sanifu - Mtazamo wa Kitenzi Kisaidizi cha Kiswahili Sarufi Geuzamaumbo Zalishi.

Baya, Fredrick Mung'aro (1993) Sanifu - Mtazamo wa Kitenzi Kisaidizi cha Kiswahili Sarufi Geuzamaumbo Zalishi. Masters thesis, University of Nairobi.

[img] PDF (Sanifu - Mtazamo Wa Kitenzi Kisaidizi Cha Kiswahili Sarufi Geuzamaumbo Zalishi.)
Baya_Kitenzi kisaidizi cha kiswahili sanifu.pdf - Accepted Version
Restricted to Repository staff only

Download (2MB) | Request a copy

Abstract

Natoa shukrani zangu kwa msimamizi vangu Profesa Mohammed Hassan Abdulaziz, Mwalimu John Hamu Habwe, Mwalimu Wamitila, Mwalimu Kineene wa Mutiso na Mwalimu Thandi. Lau si mchango wenu kazi hii isingekamilika.Shukrani nyingi ni kwa Profesa (Bi) Lucia Omondi Ndong'a, mwenyekiti wa idara ya isimu na Lugha za kiafrika Chuo Kikuu cha Nairobi, kusingekuwa kuelewa kwako nisingemali^a kozi ya digrii ya M.A.Ninamshukuru bwana Noah Katana Ngala ambaye mwanzoni aliniahidi udhamini wa gharama ya digrii ya pili, japo hakuheshimu ahadi yake, asingekuwa yeye nisingeanza kamwe kozi ya digrii ya pili.Baba yangu mzazi bwana Joseph Baya yaa Baya, ninakushukuru kwa kuamua kujitesa na kujinvima ili ugharimie masomo yangu ya digrii ya pili. Mama yangu Bibi Eddah Nzingo Baya, kaka yangu na dada zangu, ninawashukuru kwa kuvumilia shida wakati matumizi karibu yote ya nyumbani yametumiwa kugharimia elimu yangu.Ninawashukuru wote waliotoa mchango wao wa pesa ili kigharamia elimu yangu. Wengi wao siwajui wala sijawaona lakini mchango wao ulinifikia na kunisaidia. Kuhusiana na haya naoenda kuwataja Silas Mwanaule wa Kenya Ports: Authority, Bw. William Yaa wa Port Police na Bw. Mwaaona wa K.P.A. Shukrani Zincrine ziwafikie Bwana na Bibi Joseph na Rachel Mujimba kwa kiwanao cha Desa ambacho walinisaidia nacho.

Item Type: Thesis (Masters)
Subjects: P Language and Literature > PL Languages and literatures of Eastern Asia, Africa, Oceania
Divisions: Africana
Depositing User: Geoffrey Obatsa
Date Deposited: 08 Jul 2016 09:20
Last Modified: 08 Jul 2016 09:20
URI: http://thesisbank.jhia.ac.ke/id/eprint/734

Actions (login required)

View Item View Item